KILIMO KINALIPA SANAVISIONKUTOA ELIMU BORA KWA VITENDO YA KILIMO NA BIASHARA KWA VIJANA WA TANZANIA.MISSIONKUTENGENEZA MFUMO IMARA WA KUONDOA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KWA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA KISASA KWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NA VILEVILE KUONDOA KABISA TATIZO LA NJAA TANZANIA.MALENGO YETU:1. KUTOA ELIMU BORA YA KILIMO KWA VITENDO KWA VIJANA WA TANZANIA2. KUANDAA WAKURUGENZI (CEOS) KATIKA KILIMO AMBAO WATATENGENEZA AJIRA KWA WATANZANIA.3. KUTENGENEZA SOKO LA TIJA KWA WAKULIMA NCHINI4. KUTENGENEZA NA KUANZISHA CHAMA IMARA CHA WAKULIMA TANZANIA5. KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VIWANDA6. KUTAFUTA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI ILI KUKIDHI UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO7. KUTAFUTA TEKINOLOJIA YA KISASA KATIKA SEKTA YA KILIMO8. KUUNGANISHA VIJANA WOTE TANZANIA WANAOLIMA.SHUGHULI ZA KKS1. KUTOA ELIMU YA KILIMO KWA WATANZANIA2. KULIMA MATIKITI, NYANYA, VITUNGUU, MAPAPAI, HOHO NA PARACHICHI3. KUFUGA KUKU WA MAYAI (LAYERS), NYAMA (BROILER) NA KUKU WA KIENYEJI4. KUINGIA UBIA NA WADAU WA PEMBEJEO ILI KUWASAMBAZIA WANACHAMA WETU WA FACEBOOK PAGE, WHATSAPP GROUP NA WANAOFIKA OFISINI
TUNAAMINI:1. WAKURUGENZI ( CEOS) WAJAO WATATOKA KWENYE SEKTA YA KILIMO2. KILIMO PEKEE KITAONDOA TATIZO LA AJIRA, NA KILA KIJANA ANAWEZA KUPATA KAZI KUPITIA KILIMO3. NCHI YETU HAITAKUMBWA NA TATIZO NJAA KAMA TUTAWEKEZA KWENYE KILIMO4. UCHUMI WA NCHI YETU UTAKUA KWA KASI KUBWA KUTOKANA NA KILIMO CHA TIJA5. TUNAAMINI KILA KIJANA ANAO UWEZO WA KUWA TAJIRI KAMA ATAWEKEZA KWENYE KILIMO NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ZAKE ZOTE.6. TUNAAMINI SERIKALI YETU ITASAIDIA VIJANA KATIKA KUWEKEZA KWENYE KILIMO.7. TUNAAMINI KWA TAARIFA SAHIHI ZA KILIMO NA TAFITI ZITASAIDIA VIJANA KULIMA KWA TIJA8. TUNAAMINI NCHI YETU IMEBARIKIWA NA KILA AINA YA RASILIMALI NA TUTAZITUMIA VIZURI KUWEKEZA KATIKA KILIMO.